Matthew 5:18

18 aKwa maana, amin nawaambia, mpaka mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata herufi moja ndogo wala nukta itakayopotea kwa namna yoyote kutoka kwenye Torati, mpaka kila kitu kiwe kimetimia.
Copyright information for SwhKC